Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa Magufuli kaziniSikufahamu kwalo!
"...huyu Zitto hapaswi kabisa kucheka kilema cha mtu ukizingatia hata mama yake ni kilema tena cha kuchovya!"
Mdau.
Ndugu zangu tuwiwe na kiasi huku tukikumbuka hujafa hujaumbika.
Achana na hekaya za vijiweniWengine wanadai yeye mwenyewe ndo alimtoa kafara kwa sababu ya siasa ndo maana hajachimba kaburi lake pembeni yake
uko sahihi sana.Tumefika kote huku kwa sababu ya Zitto?
Tufanye yaishe, tumwacheni zitto na ushamba wake