Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kama huyu alieleta hii mada pia.Naomba nisieleweke vibaya na hili halimhusu tu Zito.
Watoto wengi waliozaliwa na kulelewa na wazazi wenye different abilities and not disability....
Kwa experience niliyonayo wanakuwaga na mdomo saana. Ni wale nikanyage uone. Wapo bitter muda wote.
Sio kwasababu wamezaliwa hivyo..hapana ni adaptation ya mazingira ya manyanyaso wanayopitia kwenye jamii toka wakiwa wadogo...hii pia ipo kwa wazazi wao.
Ukiwafanyia jambo hata kama haujui wana different abilities wao watawaka kwa kukuambia unafanya hivi kwasababu mimi au mama yangu ni kilema eeh.
Hivyo muda wote wapo standby kulipuka na wanamdomo saana.
Ndiyo,hata kama leo mimi ni mzima lakini sipaswi kumcheka mtu mwenye ulemavu ilihali hata miye ni kilema wa kesho.Kama huyu alieleta hii mada pia.
Right, hata kule tweeter ukimkanyaga kidogo tu unakula block.Naomba nisieleweke vibaya na hili halimhusu tu Zito.
Watoto wengi waliozaliwa na kulelewa na wazazi wenye different abilities and not disability....
Kwa experience niliyonayo wanakuwaga na mdomo saana. Ni wale nikanyage uone. Wapo bitter muda wote.
Sio kwasababu wamezaliwa hivyo..hapana ni adaptation ya mazingira ya manyanyaso wanayopitia kwenye jamii toka wakiwa wadogo...hii pia ipo kwa wazazi wao.
Ukiwafanyia jambo hata kama haujui wana different abilities wao watawaka kwa kukuambia unafanya hivi kwasababu mimi au mama yangu ni kilema eeh.
Hivyo muda wote wapo standby kulipuka na wanamdomo saana.
Hasa yeyeWatu mna vinyongo sana
Wengine wanadai yeye mwenyewe ndo alimtoa kafara kwa sababu ya siasa ndo maana hajachimba kaburi lake pembeni yakeMama yake alikua anaongea utumbo bunge la katiba. Zitto alipaswa kuzikwa na mama yake.
Ni kwel hujafa hujaumbika! Lkn Lisu wamemsema san hata humu mara kiwete majina mengi tu, tena hawa hawa wanaotoa milio humu juu ya zito!!!Sikufahamu kwalo!
"...huyu Zitto hapaswi kabisa kucheka kilema cha mtu ukizingatia hata mama yake ni kilema tena cha kuchovya!"
Mdau.
Ndugu zangu tuwiwe na kiasi huku tukikumbuka hujafa hujaumbika.
Alipokuwa anafikilia kuongea ule ujinga alijipanga kupokea kila kitu so, acha achapwe mpaka ajue pesa anayotafuta kwa kila njia hutokea puani siku inapofika.Tumefika kote huku kwa sababu ya Zitto?
Tufanye yaishe, tumwacheni zitto na ushamba wake