Kumbe hata muda wa kufanya marekebisho ya katiba ya Nchi upo

Egoinya

Senior Member
Joined
Jun 12, 2025
Posts
192
Reaction score
399
Walafi wa mali za Nchi wanasema mara ooh! Muda wa kufanya marekebisho ya katiba ya nchi haupo !! Sasa kiko wapi!!! Mbona mmeitana kubadili vifungu vya katiba ccm ili kulinda maslahi yenu yanayotishiwa!? Mungu atawafunua kila hila yenu.
 
Wajumbe kataeni huyu, awamu ya magufuli imeisha watu wachukue fomu kura zipigwe na sio kubadili katiba kumfurahisha maana hicho kifungu ndio kitamuweka riziwani mwaka 2030 kiulaini bila kuchukua fomu. Katiba ya chama haina kasoro why ibadilishwe vifungu
 
Haahaa wanakwambia muda umeisha, wakati Yao wanafanya siku moja🤣🤣
 
Wajumbe kataeni huyu, awamu ya magufuli imeisha watu wachukue fomu kura zipigwe na sio kubadili katiba kumfurahisha maana hicho kifungu ndio kitamuweka riziwani mwaka 2030 kiulaini bila kuchukua fomu. Katiba ya chama haina kasoro why ibadilishwe vifungu
Wakatae wakose uelekeo kwenye maisha yao? 😀
 
Back
Top Bottom