Kumbe hata wanawake wa Kizungu wanapenda sana kuhingwa? Nilijua ni waswahili tu.

Kumbe hata wanawake wa Kizungu wanapenda sana kuhingwa? Nilijua ni waswahili tu.

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Nimeleta hii kama taarifa tu.
Mimi nilikuwa naamini kwa kuwa wazungu wametutangulia kwa kila kitu hadi haki za uhuru na usawa baina ya jinsia moja na nyingine basi nilijuaga wao hawasumbui mambo ya vibomu.

Ebwanaaee tena kuna wengine ni Vibom international
Nimeona hii kwa mademu zake jamaa mmoja kutoka familia ya Rais Mstafu.

Anawapa vihela vya hapa na pale na anawapanga foleni kama kawaida.
 
Kwani jinsia ya kike hujui kwamba inahitaji matunzo, iwe china, amerika ama sudan.
 
Mkuu kuanzia Mzungu wa pale Florida ,Njoo mpaka Berlin, sogea na Manchester, tambaa kidogo mpaka Barcelona, pandisha juuu mpaka Moscow , njooo Kwa tumacho tudogo Pale Shanghai , penyeza Kwa adui wao Tokyo , ruka mpaka Buenos Aires , usiache na Reo de janeri, Kisha ruka mpaka Pretoria , Ruka mpaka Rabat , Hata kule Kwa Tripoli.




Alafu Sasa njooo huku kwetu MTOGORE au YOMBO VITUKA.



NAKUAMBIAJE, HUWEZI TENGANISHA WANAWAKE NA HELA , WANAWAKE NA HELA NI NDUGU !!!.
Hata kama unapiga mtoto wa Sa100, akitoka hapo anataka umuachie hata Buku Ten 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom