Valentina JF-Expert Member Joined Oct 12, 2013 Posts 24,684 Reaction score 28,777 Jun 30, 2024 #41 Grahams said: Marahaba Mjukuu, habari za huko Mjini kwenu? Mimi na Bibi yako tumekukumbuka sana π€ Click to expand... Mjini kwetu babu njaa tuu bana Msalimie bibi mwambie atutumie japo mayai
Grahams said: Marahaba Mjukuu, habari za huko Mjini kwenu? Mimi na Bibi yako tumekukumbuka sana π€ Click to expand... Mjini kwetu babu njaa tuu bana Msalimie bibi mwambie atutumie japo mayai
Komeo Lachuma JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 7,926 Reaction score 17,030 Jun 30, 2024 #42 Tate Mkuu said: Mbona kama unaweweseka vile! Click to expand... Huyu jamaa sisi Yanga anatuumiza sana kwa maneno yake. Mi namchukia sana maana Yanga tunakosa raha kabisa sababu yake.
Tate Mkuu said: Mbona kama unaweweseka vile! Click to expand... Huyu jamaa sisi Yanga anatuumiza sana kwa maneno yake. Mi namchukia sana maana Yanga tunakosa raha kabisa sababu yake.
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 16,096 Reaction score 49,651 Jun 30, 2024 #43 Valentina said: Mjini kwetu babu njaa tuu bana Msalimie bibi mwambie atutumie japo mayai Click to expand... Poleni sana, ndiyo hali ya maisha ilivyo kuwa na ups and downs Kwahiyo nimwambie Wakala aweke kwenye akaunti ile ile sio? Najua tukituma mayai Kwa njia hiyo itasaidia kuyafikisha salama bila kuvunjika njiani π€
Valentina said: Mjini kwetu babu njaa tuu bana Msalimie bibi mwambie atutumie japo mayai Click to expand... Poleni sana, ndiyo hali ya maisha ilivyo kuwa na ups and downs Kwahiyo nimwambie Wakala aweke kwenye akaunti ile ile sio? Najua tukituma mayai Kwa njia hiyo itasaidia kuyafikisha salama bila kuvunjika njiani π€
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Jun 30, 2024 #44 Kwa usajili huo msije kugombania kutokushuka daraja!