Kumbe hawa tunaowadharau ndio wanaotupa Trillioni Tisa kwenye Afya!

Kumbe hawa tunaowadharau ndio wanaotupa Trillioni Tisa kwenye Afya!

Wanajua publicity hukumbuki yale magazeti ya watu wa China?
Gazeti la picha la watu wa China. Unatumiwa bure mpaka kwenye posta. Sisi vijijini tulikuwa tunayabandika kwenye kuta kuficha udongo. Halafu tulikuwa tunafunikia madaftari.
 
Gazeti la picha la watu wa China. Unatumiwa bure mpaka kwenye posta. Sisi vijijini tulikuwa tunayabandika kwenye kuta kuficha udongo. Halafu tulikuwa tunafunikia madaftari.
Ha ha ha ha! Enzi za enzi
 
Nchi zote ndogo.. Washington DC ndo inaamua kipi kifanyike.. Ogopa sana USA
 
Mkuu dawa wananchi tunapewa bure " lakini serikali inanunua " Uko kwenye dunia ya ngapi chief"!!?.... hayo madawa ni biashara kubwa sana ya USA ambayo ina changia kulinyanyua taifa lao kiuchumi . Na ikitokea ukajifanya wewe raisi unapinga hautaki kununua " Utaundiwa zengwe mpaka utolewe madarakani".....

Usione watu (ma-raisi ) wapo madarakani basi ukadhani wana jiendeshea tu nchi wanavyotaka kuna power ambazo zina simamia tawala zao nakuwataka wafuate vile wanavyotaka wao .....

Karibu
Bajeti ya dawa hizo na vipimo vyake inatoka marekani. Hadi register zake wanafadhili wao. Na wanafuatilia mpaka huko.
Ukienda zahanati au hospitali za serikali unakuta ndo zipo nyingi kuliko zingine. Serikali yetu haina ubavu wa kununua hizo zisiishe.
 
Endelea kujidhulumu ufahamu mkuu".... jaribu jufuatilia kilichomtoa zouma madarakani ninini !!? Kisha urudi hapa"... USA wakupe madawa bure wamerogwa au ' hiyo mitumba tu wana tuuzia ", na walipoona kwamba kuna tishio la nchi za east africa kutaka kuacha kuinunua wakatoa onyo kubwa na tishio la vikwazo vya uchumi juu
 
Haya wale ndugu zake putin mje mtueleze serikari yenu ya Moscow ina mchango gani msitueleze mpango mkakati tuelezeni nini anafanya.
 
Back
Top Bottom