Manara kisha kuharibu!Muonekano wa ndani. Na nje kwenye kambi ya MAKOLO Huko egypt..! sasa sii bora mngeenda Ruvuma tu....
Kuna joto!Mbona kama majengo ya refugee camp
Mnajitekenya au cio.Muonekano wa ndani. Na nje kwenye kambi ya MAKOLO Huko egypt..! sasa sii bora mngeenda Ruvuma tu...
Avic Town Kigamboni Ni Bora zaidi kuliko hayo mabweni ya Askari magereza.Nanyie camp yenu ipoje ?