Kumbe hii ndio kambi ya Makolo FC huko Misri

Mbona unasambaza habari za uongo🥴
Na nyie mliokosa Hela ya kwenda pre season tusemaje🤗
 
Hii mambo ya kuokoteza picha kufanyia editing ni utoto.

Uto nikujuze tu, ujue kwenye kambi ya Simba SC kuna wanahabari wa kimataifa wanaokwenda kuripoti taarifa za mazoezi yao ya kila siku.

Simba SC kwa sasa ni klabu kubwa Afrika inatambulika kila upande wa dunia yetu.
 
Klabu Kubwa Afrika Bila Kuchukua Makombe?! [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
Usimshangae hawa wa jinsia ya tatu ndiyo walivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…