Melki Wamatukio JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 6,156 Reaction score 10,974 Jan 8, 2024 Thread starter #21 Lambardi said: Wafungue shule sasa waende khaas Click to expand... Na kweli mkuu. Wafungue tu maake hali ni mbaya humu MMU
Lambardi said: Wafungue shule sasa waende khaas Click to expand... Na kweli mkuu. Wafungue tu maake hali ni mbaya humu MMU
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,418 Reaction score 5,257 Jan 8, 2024 #22 Mkuu nakuelewa sana,yaani hii Dunia Kuna wanga kweli,utazushiwa umetembea na mwenye ngwengwe Ili tu pisi zisikutunuku.Na hili hufanywa na wale mademu ambao umewapiga chini.
Mkuu nakuelewa sana,yaani hii Dunia Kuna wanga kweli,utazushiwa umetembea na mwenye ngwengwe Ili tu pisi zisikutunuku.Na hili hufanywa na wale mademu ambao umewapiga chini.
Ngareroo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2019 Posts 2,123 Reaction score 2,449 Jan 8, 2024 #23 Form two mna vituko..haya j3 kuna mtaala mpya naskia
Saiso Member Joined Dec 3, 2023 Posts 42 Reaction score 105 Jan 8, 2024 #24 franklina said: Umeandika kwa speed sana kaka Click to expand... Sijui anakimbilia wapi