Kumbe hii Simba jike ya CHADEMA ni Simba kweli kweli, Pengo la Halima Mdee sasa limepata mzibaji

Kumbe hii Simba jike ya CHADEMA ni Simba kweli kweli, Pengo la Halima Mdee sasa limepata mzibaji

Sharifa anatosha, angalau pawe na muislam 1 ktk safu ya juu ya chama
Udini tena!

Hivi Tz tumepatwa na jinamizi gani jamani?

Nyerere alishatutoa huko kwenye udini na ukabila.

Mtu achaguliwe kwa sifa na uwezo stahiki bila kujali jinsia wala kabila, hapo ndotutaenda vzuri.
 
Back
Top Bottom