Kumbe hiki ndio kirefu cha UKUTA?

Kumbe hiki ndio kirefu cha UKUTA?

Na Mrema kishawaambia mwny bahati sana siku ya Maandamano ni yule atakaefikishwa Gerezani kabla hajalambwa shaba au kuvunjwa Mguu!
Kuna Vichwa maji watakubali kuhongwa kiroba cha mia mbili ili wakavunjwe miguu na kulala Gerezani
 
Makamanda ndani ya magwanda!! Ngoja tutaona
 
U-ukitaka
K-kuvunjwa
U-uti wa mgongo
T-tarehe moja september
A-andamana
Hahahahhahahaha,aiseee hiii kali
Tunawasuburi kuahirisha kama walivyojazana Dodoma.

Tatizo wale waliowao ndio kimbelembele,wakubwa wote mambo yao safiii ila walalahoi wasiojitambua ndio watakuwa vyambo.

Watu wanataka maendeleo wa kila siku wanazuka na jipya huku majimbo yao yakiwa kama hayana wawakilishi.
Acha waendelee na maigizo yao,serikali ipo,kichapo mpaaka wayambe
 
wanategemea marungu,waache marungu tuzipige kavu kavu uone nani atakimbia,
 
Back
Top Bottom