Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakoromije huku tumepiga ramli tunahisi ni hapo hapo.Hivi hapa ni opposite na Mlimani city Sam Nujoma road?
Mawasiliano tower opposite na Magufuli hostel.Hivi hapa ni opposite na Mlimani city Sam Nujoma road?
Ok yes ni hiloMawasiliano tower opposite na magufuli hostel.
Wamesema ni hilo hilo mkoromije mwenzangu 😀😀Wakoromije huku tumepiga ramli tunahisi ni hapo hapo.
Nakusalimu Kwa jina la Jf [emoji119]Wamesema ni hilo hilo mkoromije mwenzangu [emoji3][emoji3]
Mbagala moja hiyoooHivi hapa ni opposite na Mlimani city Sam Nujoma road?
Hapana siloOk yes ni hilo
Mmh siyo Mbagala bana mkuu! Hiyo ni njia ya Mwenge from Ubungombagala moja hiyooo
Marhaba mdogo angu! Habari ya hukoNakusalimu Kwa jina la Jf [emoji119]
Wamekudanganya wewe, hapo ni kwa Aziz Ali uhasibu 😎Mmh siyo Mbagala bana mkuu! Hiyo ni njia ya Mwenge from Ubungo
Sijambo mdogo wangu, habari ya swaxMarhaba mdogo angu! Habari ya huko
Urefu wa jengo hupimwa kwa idadi ya mita/ futi kutoka ardhini Hadi juu kabisaLina floor 35 (bila kuzingatia ground floors).
Sijui Benjamin Mkapa Pension Tower lina floor ngapi.
View attachment 1797446
Yaani ntabisha hadi asubuhi mkuu! Hapo ni Kivulini fyuu😀wamekudanganya wewe, hapo ni kwa aziz ali uhasibu 😎