Kumbe hili ndio jengo refu kuliko yote Bongo!

Duh hapo kwenye funza😪😪hivi ni huu mgahawa famous hivi upo karibu kabisa na stand ya mawasiliano?
 
Duh hapo kwenye funza😪😪hivi ni huu mgahawa famous hivi upo karibu kabisa na stand ya mawasiliano?
Opposite na geti zinapoingia daladala. Halafu utaratibu wao wa malipo siupendagi.

Ukimaliza kula, inabidi uinuke, umfate mtumishi alipo... Hapo nyuma yako anakusindikiza mhudumu aliyekuhudumia.

Mkifika kwa mtumishi, yule mhudumu anamtajia menu uliokula, ndio unalipa.

Kama mtumishi ameenda labda chooni itabidi ukae usubiri hadi arudi.

Wahudumu marufuku kupokea pesa ya mteja.
 
Hao wakuja, wanakudanganya.. wapo mikoani hao
Sawa bontown wa Mbagala 😀
Duh sasa mbona kuna mlolongo hivo kama jina lako😀😀 au wahudumu walikua wanaweka pesa mfukoni kwao nini!
 
sio mawasiliano tower...hii ni psssf tower ipo Pembeni mwa IGESA ROAD (njia ya kwenda sinza makaburini)...Mawasiliano tower ipo mbele ya hii tower kama unatoka mwenge kwenda ubungo
Nafikiri hukunielewa. Alipokuwa mleta mada(mpiga picha) ni mawasiliano tower.
 
Kuna jengo refu naliona kutokea hapa Chatto, kumbe ndio hilo.
 
Mawasiliano tower opposite na magufuli hostel.
Mawasiliano Tower ni makao makuu ya TCRA. Unamaanisha hilo jengo la TCRA ni refu kuliko lile jipya la pale karibu? Lile jengo refu sana hata ukiwa Goba unaliona lenyewe tu. Ukiwa UDSM kule juu kwenye Hostel lakini bado linaoneka limewazidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…