Kumbe hizi dini zote za kipigaji hakuna dini ambayoo hawataki maokotoo

Kumbe hizi dini zote za kipigaji hakuna dini ambayoo hawataki maokotoo

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
1735901002562.jpg
um
 
Hii mbona ipo dubbed...

Halafu acha uchochezi mbona mada haijakaa kikorofi?
Hamna uchochezi wowote hapo. Nimeonyesha TU aliyenacho ampe asiyenacho. Kama gharama ni kubwa hizo basi waamini wachangiane.
By the way hamna dubbing hapo.
 
Very affordable na ukichunguza hizi bei ni sehemu ya sadaka. Hivi maiti mtu kapata ajali unaambiwa elfu 50, sanda na vifaa vyake bure ila mtu anakuja na mada za malalamiko
 
Back
Top Bottom