Hizo shughuli tajwa hapo zote zinahitaji muda, nguvu na uwezo wa watu hivyo ni lazima gharama ziwepo.
Hii mbona ipo dubbed...
Hamna uchochezi wowote hapo. Nimeonyesha TU aliyenacho ampe asiyenacho. Kama gharama ni kubwa hizo basi waamini wachangiane.Hii mbona ipo dubbed...
Halafu acha uchochezi mbona mada haijakaa kikorofi?