Sasa hapo alikuwa na sababu gan ya kujitapaTatizo sio Android... Tatizo ni play services kutoka Google.. hii ina maana kuwa Harmony Os ni kama HiOs ya Tecno.. maana yake ni kwamba Android inakuwa imeongezewa User Interface(UI) ila kwa Harmony Os hamna play services
Sababu ni kuweza kutengeneza platform ambayo iruhusu ku install application bila kuunganishwa na google play services..!Sasa hapo alikuwa na sababu gan ya kujitapa
Hajatengeneza kafanya kucopy na kuedit edit, alisema itakuwa faster sijui lighter, tazama hiyo video inaenda sawa na androidSababu ni kuweza kutengeneza platform ambayo iruhusu ku install application bila kuunganishwa na google play services..!
Ni kweli inaweza kuwa lighter and faster japo video sijaitazama, kwa sababu kazi ya play services ni ku link apps zote pamoja ikiwemo playstore.. kitendo hicho huwa kinasababisha matumizi makubwa ya battery pamoja na Ram.. ila kwa Harmony hiyo haipo na ndio maana wanaweza kusema itakuwa lighterHajatengeneza kafanya kucopy na kuedit edit, alisema itakuwa faster sijui lighter, tazama hiyo video inaenda sawa na android
Alibrag Sana what we expected siyo hiki ila ngoja tungojeNi kweli inaweza kuwa lighter and faster japo video sijaitazama, kwa sababu kazi ya play services ni ku link apps zote pamoja ikiwemo playstore.. kitendo hicho huwa kinasababisha matumizi makubwa ya battery pamoja na Ram.. ila kwa Harmony hiyo haipo na ndio maana wanaweza kusema itakuwa lighter
sheria ya ukichukua open source, basi na wewe lazima software yako uwe unatoa source code.kitendo cha Android kua open-source, naona jamaa wamei customize na kulaunch 'ROM' yao
Harmony ni open-sourcesheria ya ukichukua open source, basi na wewe lazima software yako uwe unatoa source code.
Kumbuka Android wamecustomize kutoka Linux ambayo ni open source.
naruhusu kukosolewa nilipokosea
Microsoft wanatabia ya kukata tamaa wanapoona mwanzo ni mgumu. Walikata tamaa na Microsoft Zune baadala ya kupambana mwisho wake Apple wakaja na concept kma yao na kuimprove wakatengeneza iPod zilizotikisa soko.Nawalaumu sana Windows phone OS kwa nini walikata tamaa kuendeleza mapambano. Hakika ilikuwa na mvuto wa kipekee kuliko hawa wanaoigana.
Mchina siku zote anaishi kwa kukopi.Wiki kadhaa zilizopita Huawei alitoa developer version ya Harmony OS, lakini kutokana na wakali wa Mambo na comparison ya side to side Ile ni Android 10 ambayo imekuwa edited...
Na kuhusu kaiosHakuna corporation yoyote inayoweza ku launch OS mpya kabisa ndani ya miaka miwili. Hcho kitu hakiwezekani. Hata Android ilikuwa based on Linux kernel, hata macOS and Linux zilikua based on UNIX, Windows nayo ilkuwa based on MS-DOS...
Uko sahihi kabisa kwahiyo tutegemee OS ilio bora zaidi kutoka Huawei muda si mrefu...Hakuna corporation yoyote inayoweza ku launch OS mpya kabisa ndani ya miaka miwili. Hcho kitu hakiwezekani. Hata Android ilikuwa based on Linux kernel, hata macOS and Linux zilikua based on UNIX, Windows nayo ilkuwa based on MS-DOS...
Hyo sio sheria ya open source. Unaweza chukua open source code ukafanya chochote unachotaka. Kwani HiOS au MIUI ni open source?sheria ya ukichukua open source, basi na wewe lazima software yako uwe unatoa source code.
Kumbuka Android wamecustomize kutoka Linux ambayo ni open source.
naruhusu kukosolewa nilipokosea
We yakwako iko wapi?Mchina siku zote anaishi kwa kukopi.