Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Wiki kadhaa zilizopita Huawei alitoa developer version ya Harmony OS, lakini kutokana na wakali wa Mambo na comparison ya side to side Ile ni Android 10 ambayo imekuwa edited.
Nimeona video wakicompare side by side inafanana kila kitu na android 10. Hata app development studio iko exactly Kama ya android isipokuwa apps badala ya kuwa na extension ya apk zinazkuwa na extension ya hap
Wataalam wa Mambo wanasema Ile ni Android 10 kwahiyo ni uongo pale Huawei alipodai Ana OS Kali kwenye store, labda Kama ataenda anatoa feature moja moja na kuongeza nyingine kwa taratibu.