maiko sultan JF-Expert Member Joined Jan 28, 2024 Posts 961 Reaction score 2,138 Jul 19, 2025 #21 Wengine ndio muda wetu wakupitia uzi wa picha za warembo worldward.
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,861 Reaction score 8,525 Jul 19, 2025 #22 Numbisa said: Kuna raia wa kila aina na kazi mbali mbali Click to expand... 🤐🤐
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,865 Reaction score 58,677 Jul 19, 2025 #23 Mi kazi zangu zunanitaka niwe nalala sa 4 usiku alafu sa sita naamka hapo mpaka saa 9 usiku ndo talala
Mi kazi zangu zunanitaka niwe nalala sa 4 usiku alafu sa sita naamka hapo mpaka saa 9 usiku ndo talala
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,865 Reaction score 58,677 Jul 19, 2025 #24 maiko sultan said: Wengine ndio muda wetu wakupitia uzi wa picha za warembo worldward. Click to expand... Daah ila ule uzi.. Huwa nikitaka kuingia na log off kwanza
maiko sultan said: Wengine ndio muda wetu wakupitia uzi wa picha za warembo worldward. Click to expand... Daah ila ule uzi.. Huwa nikitaka kuingia na log off kwanza
Von Bismarck JF-Expert Member Joined Jul 11, 2018 Posts 4,846 Reaction score 11,671 Jul 19, 2025 #25 Watu wanakuwa na stress zao anaona aje JF
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Jul 19, 2025 #26 Wachache sana, hata kama wote wangekuwa Tanzania ni wastani wa watu 18 tu kwa mkoa.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Jul 19, 2025 #27 Inawezekana pia na wao wao walikuwa wanachungulia tu JF kupoteza muda wakiusikilizia usingizi mkagongana
Inawezekana pia na wao wao walikuwa wanachungulia tu JF kupoteza muda wakiusikilizia usingizi mkagongana
wakunyonya JF-Expert Member Joined Feb 5, 2024 Posts 994 Reaction score 2,433 Jul 19, 2025 #28 Saa nane ni mida yangu ya kuwa pugu nachagua vichwa na mikia ya ng'ombe.
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Jul 19, 2025 #29 Wengine ni security guard