Kumbe humu ndani mnakulana tu!!!

Kumbe humu ndani mnakulana tu!!!

mandokwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
620
Reaction score
865
Nimesoma taarifa ya shedede na husna muba, pia nimesoma yule jamaa aliyekaa siti ya daladala na nyange wa jf na comment kadhaa. kumbe wenzangu mwakulana humu JF? mnatisha kabisaaaa na wala hamtoi hint kwa wenzenu....

nawasalim tu

Nangu mandokwa
 
Sehemu yoyote wanapokutana watu, kujamiiana ni jamno la kawaida
 
IMG-20170515-WA0000.jpg

Jf ni kama mafuriko......[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Doh nahitaji niokolewe namim ninazama jaman kwenye mafuriko
 
Oya mbona imeruhusiwa xikunyingi na mungu kuliwa master! ![emoji112]
 
Doh nahitaji niokolewe namim ninazama jaman kwenye mafuriko

Kwny Uokozi watu wa Mwanzo mwanzo kuokolewa ni Wenye Mikia Mikubwa! Jee una vigezo vya kuokolewa Mwanzo Mwanzo?, Kama Wewe ni flat screen aaah tutakuja kukuopoa sio kukuokoa [emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom