Kumbe huyu jamaa suala la kudaiwa vyeti halikuwa bahati mbaya

Sijui lile sakata la kumdai vyeti tulianzishe upyaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hivi kweli msomi uliyekwenda shule na kuelimika unashindwa kuandika vizuri kweli????

Hilo neno "nasbili" ni kithibitisho tosha cha ukomo wa elimu yake .

Hapo ilibidi aandike "ninasubiri" na sio hiyo "nasbili" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].View attachment 950417
Mkuu hiyo lugha ya kujibebisha,, ##Mirinda anayayo?## namanisha nyeusi tamu hiyooo
 
Hivi kweli msomi uliyekwenda shule na kuelimika unashindwa kuandika vizuri kweli????
kwani alikua anatayarisha gazeti?
Hata wewe uliekwenda shule mbona umekosea kuandika?
uliyekwenda=uliekwenda ...haya nawe tuoneshe cheti chako NTS level6
 
Sijui lile sakata la kumdai vyeti tulianzishe upyaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hivi kweli msomi uliyekwenda shule na kuelimika unashindwa kuandika vizuri kweli????

Hilo neno "nasbili" ni kithibitisho tosha cha ukomo wa elimu yake .

Hapo ilibidi aandike "ninasubiri" na sio hiyo "nasbili" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].View attachment 950417
Mtoa mada nikupe white pepar apaa uandike mwandiko wako tuone.. Humu jf majitu mengi yanajikuta sana et yanajua kuandika ...wakati ukiangalia mwandiko wao halisi ni zaidi ya bata mzinga
 
Hance " wasafi mnaroho mbaya sana " huwaga mnataka nyinyi tu ndio " muwe karibu na watu wakubwa nchini " acheni roho ya kutu aisee
 
Sijui lile sakata la kumdai vyeti tulianzishe upyaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hivi kweli msomi uliyekwenda shule na kuelimika unashindwa kuandika vizuri kweli????

Hilo neno "nasbili" ni kithibitisho tosha cha ukomo wa elimu yake .

Hapo ilibidi aandike "ninasubiri" na sio hiyo "nasbili" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].View attachment 950417
Jamaa inaonekana umeumia sana baba keagan kumpost kìng kiba
 
Baba Keagan ndio nani tufahamisheni sisi watu wa mkoani!
 
Pale wasafi kuna watu wananipa mashaka sana kazi zao.

Wewe ni ricadomomo???
 
Back
Top Bottom