Kumbe huyu Katy Perry hatari!!

Insta ndo hii ambayo diamond anaongoza africa?????wema ako na followers million 1[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]
😀😀😀😀😀😀 mkuu Vp kuhusu Davido!!!???
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] davido naye kapitwa maajabu ya wa tz


Wapi ni wap sasaa!!??..🙂🙂🙂
 

Attachments

  • 1452686395306.jpg
    71.4 KB · Views: 25
  • 1452686410865.jpg
    63.4 KB · Views: 23
me mwenyew nlmjua toka mwaka jana n balaa
 
Kate perry ni zaidi ya rihanna na beyonce sema dr luke anambeba sana
Hapo naweza kubali kabisa maana nyimbo zake ni hatari halafu hata maneno yanasikika vizuri na kueleweka. Dada noma sana
 
Ungekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa za Marekani, hasa za chama cha Democratic wala usingestushwa na ukali wa Katy Perry!. Amekuwa mhamasishaji mkubwa wa kampeni za Raisi Obama!.
sema wakati Obama anagombea nlikua bado akili haijakaa sawa maana kidogo nlikuwa mdogo nisingeweza kumjua
 
Sasa nenda kam google Taylor Swift uone na yeye .....
Sikuwa nyuma mkuu Boss naye huyo ndo namalizia ku download album yake nimsikie ila nahisi wana miziki inayofanana maana sehemu nyingi wanaongelewa kwa pamoja kama mapacha
 
Insta ndo hii ambayo diamond anaongoza africa?????wema ako na followers million 1[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]

Hayuko mbele huko na wengine kwa sasa basi sema Tandale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…