Issue Boy
Member
- Jan 6, 2016
- 59
- 9
😀😀😀😀😀😀 mkuu Vp kuhusu Davido!!!???Insta ndo hii ambayo diamond anaongoza africa?????wema ako na followers million 1[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀😀 mkuu Vp kuhusu Davido!!!???Insta ndo hii ambayo diamond anaongoza africa?????wema ako na followers million 1[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] davido naye kapitwa maajabu ya wa tz😀😀😀😀😀😀 mkuu Vp kuhusu Davido!!!???
😀😀😀😀 Sasa Nani ni nani!!!?Sasa mwingine anazungumzia twitter followers, mwingine analeta followers wa instagram... yani vululu vululu ndio maana mimi nakosa usingizi
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] davido naye kapitwa maajabu ya wa tz
Sasa nenda kam google Taylor Swift uone na yeye .....
Mkuu! Wapeleke taratibu, ukiwapa na huyu ndio watachanganyikiwa kabisaaa 😉Sasa nenda kam google Taylor Swift uone na yeye .....
Hapo naweza kubali kabisa maana nyimbo zake ni hatari halafu hata maneno yanasikika vizuri na kueleweka. Dada noma sanaKate perry ni zaidi ya rihanna na beyonce sema dr luke anambeba sana
Embu ngoja niitafute na hiyoInaitwa - Part of Me
sema wakati Obama anagombea nlikua bado akili haijakaa sawa maana kidogo nlikuwa mdogo nisingeweza kumjuaUngekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa za Marekani, hasa za chama cha Democratic wala usingestushwa na ukali wa Katy Perry!. Amekuwa mhamasishaji mkubwa wa kampeni za Raisi Obama!.
Sikuwa nyuma mkuu Boss naye huyo ndo namalizia ku download album yake nimsikie ila nahisi wana miziki inayofanana maana sehemu nyingi wanaongelewa kwa pamoja kama mapachaSasa nenda kam google Taylor Swift uone na yeye .....
Namfatilia na huyu nimsikieMkuu! Wapeleke taratibu, ukiwapa na huyu ndio watachanganyikiwa kabisaaa 😉
Insta ndo hii ambayo diamond anaongoza africa?????wema ako na followers million 1[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]