Kuna watu wanajua fukua ma file ya watu balaa. Hahaha Imenikumbusha nko chuo....unakuta mtu anakufatiliaa weee ur ins ur outs...daaah. What for ??....and if ur smart utajua fika flan na flan wanakufatilia.
At the same time hua najiuliza mtu anatoa wapi tha energy & time kufanya such things. I only do it to a woman i really adore.