Kumbe huyu member ni demu

Kumbe huyu member ni demu

Dah mi ilikuwa tofauti kidogo nilikuwa najua ni kamen fulan Ikn kaliishia darasa la nne B
 
Kama obama wa bongo wewe ni kiumeni basi nenda kwenye profile yako badilisha gender braza ila kama ni wa kike declare tu
 

Attachments

  • 1450251093619.jpg
    1450251093619.jpg
    25.2 KB · Views: 297
Kuna watu wanajua fukua ma file ya watu balaa. Hahaha Imenikumbusha nko chuo....unakuta mtu anakufatiliaa weee ur ins ur outs...daaah. What for ??....and if ur smart utajua fika flan na flan wanakufatilia.

At the same time hua najiuliza mtu anatoa wapi tha energy & time kufanya such things. I only do it to a woman i really adore.
 
Back
Top Bottom