Huyu mamake Prezzo kwao ni
pale mlimani Bugando Mwanza town,huko Kenya alienda kutafuta maisha na
akampata mwanaume tajiri wa Kijaluo,huyo mama kala maisha jamani,ila
tokea kufariki kwa mumewe jahazi lazidi kwenda mrama,na anayelipeleka
mrama hilo jahazi si mwingine bali mwanawe Prezzo
Mwenye namba ya huyo bi mkubwa tafadhari anipe
0755648932
Wamefanana midomo
0755648932