Kumbe huyu ndo mama yake Prezzo

Kumbe huyu ndo mama yake Prezzo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huyu ndiye mama mzazi wa mwanamuziki toka pande za kenya, Prezzo..

attachment.php
 

Attachments

  • 1391541290646.jpg
    1391541290646.jpg
    45.8 KB · Views: 2,373
Kuna bonge la kolabo linakuja kati mama yake prezoo na mama yake dayamondo....washabiki wakae mkao wa kula,ni pini za kufa mtu......
 
Huyu mamake Prezzo kwao ni pale mlimani Bugando Mwanza town,huko Kenya alienda kutafuta maisha na akampata mwanaume tajiri wa Kijaluo,huyo mama kala maisha jamani,ila tokea kufariki kwa mumewe jahazi lazidi kwenda mrama,na anayelipeleka mrama hilo jahazi si mwingine bali mwanawe Prezzo
 
Huyu mamake Prezzo kwao ni
pale mlimani Bugando Mwanza town,huko Kenya alienda kutafuta maisha na
akampata mwanaume tajiri wa Kijaluo,huyo mama kala maisha jamani,ila
tokea kufariki kwa mumewe jahazi lazidi kwenda mrama,na anayelipeleka
mrama hilo jahazi si mwingine bali mwanawe Prezzo

Mdau hapo juu umesema ukweli kabisa na unaijua familia yao kwao Mamake ni Bugando
 
itakuwaaa anatumika na madogolasiii
 
prezo atampiga mtu bunduki,mama yake mkali aiseeeeee....
 
Back
Top Bottom