Nairobi wapo mbele ya wakati. Me nimefika. Acheni utani. DAR ni choka mbaya.. Nairobi kuna city kama tatu kwenye mkoa mmoja Dar ni posta tu karikoo uchafu mwingi vijumba vinaishia ghorofa 8 zaidi ni 10. Ukiacha Nairobi cbd kuna westland huko ni another level. Westland ndio kama makumbusho au masaki tuseme ila imepangika na malotion makubwa tu .
Dar inatakiwa ipigwe chini ipangwe upya maeneo kama Manzese buguruni temeke kigamboni mbagala n.k zinatakiwa ziwe kama cbd zijitegemee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.