Kumbe ilikuwa wanaumia

Kumbe ilikuwa wanaumia

Mchezo wa marudiano kati ya dar es Salam Young Africans dhidi ya Club Africain umemalizika na Yanga kufanikiwa kuingia hatua ya makundi CAF Confederation Cup kwa ushindi wa bao moja bila wakiwa ugenini.

Maneno yalikuwa mengi kabla ya mechi ya leo, wengine wakisema haiwezekani. Kiufupi hakuna aliyetarajia kilichotokea leo, hata kama walikuwepo walikuwa kwa asilimia chache sana. Hongera kwao kwa kujituma na kujitoa kwenye mechi ya leo.

Sasa tujikumbushe kidogo kauli za mashabiki wao kabla ya mechi ya leo:

KABLA YA MECHI YA LEO
~ Kwani Simba huko CAF Champions League wana mafanikio gani? Kwanza kushiriki siyo mafinikio, unatakiwa uchukue ubingwa ndiyo tutajua kweli umefanikiwa.

~ Caf Confederation Cup ni Kombe la 'loser', wanaume wote wanacheza CAF Champions League.

~ Kwani Simba ikiwa nafasi ya 11 kwenye 'rank' za vilabu bora Afrika ina faida gani? Mafinikio pekee ni kuchukua Kombe.

~ Kushiriki kila mwaka bila kuchukua kombe siyo mafanikio, sisi Yanga tukipata nafasi kama hiyo tunaenda mpaka fainali na kubeba Kombe.

~ Simba anahangaika huko kimataifa, akija kwa Mkapa sisi tunajipigia tu. Muache aendelee kuzurura sisi tunamsubiria.

BAADA YA MECHI YA LEO
~ Mashabiki wameshajiandaa wanaenda uwanja wa ndege kuwapokea, sasa sijui wanaenda kuwapokea kwa lipi wakati walisema hatua ya makundi siyo mafanikio.

~ Leo mtaani mashabiki wa Yanga walikuwa na furaha sana, walishangaria toka goli lilipoingia mpaka mpira unaisha. Sasa sijui walikuwa wanafanya hivyo kwasababu gani, wakati walisema mafanikio pekee ni kuchukua ubingwa?

~ Kupitia msemaji wao, walisema Kombe la Shirikisho ni kombe la 'loser', wakati huo Simba katolewa CAF Champions League kaenda CAF Confederation Cup mwaka jana, leo hii limekuwa UEFA Champions league?

~ Baada ya mpira kuisha wachezaji na viongozi waliingia uwanjani kushangiria mpaka Waarabu wakaanza kurusha chupa, sasa sijui walikuwa wanafurahia nini wakati ile haikuwa fainali, ilikuwa ni mechi ya kufuzu tu kwenda hatua ya makundi CAF Confederation Cup. Inashangaza sana na kufikirisha!

NB: Wananchi huu ni wakati wenu kuwaonesha njia Simba kwenye mashindano makubwa kama haya, tunawasubiria tuone mtacheza na nani fainali, maana mna wachezaji wazuri na timu bora.
Pambaneni nahalyenu ligikuumkonafasiyasita
 
Wananchi huu ni wakati wenu kuwaonesha njia Simba kwenye mashindano makubwa kama haya, tunawasubiria tuone mtacheza na nani fainali, maana mna wachezaji wazuri na timu bora.[emoji23]
 
Mabingwa wa kihistoria hakuna wa kuwazuia mpaka fainali
 
Back
Top Bottom