Kumbe ilikuwa ya mama mkwe

Jaman[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu hata ukivaa kandambili isiyokuwa yako kizani unahisi utofauti na unaivua mara moja sembuse k ya mama mkwe.
Ulizingua brother😂🤣
 
Pombe sio chai
 
Ukiwa mZima sawa! Je ukiwa umetoa lock;?[emoji23]
Pombe huondoa fahamu za wanadamu

UFAHAMU ni uwezo wa akili ya mwanadam kutafsiri jambo au kitu Fulani Kwa usahihi bila kukosea

Mwamba alilewa hivyo ufahamu ukamtoka akashindwa kutambua kwamba yule si mke wake aliemoea Kila siku kwaiyo Akala tunda la mama mkwe kitu ambacho ni kibaya na ni laaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaana kwasababu MUNGU amekataza Sana
 
😂😂😂😂 Mshana bwana,ulijua tangu usiku hapa nilipoingia siko,ila ulitumia "benefit of the doubt" kula kwa mama.
Basi ndugu yangu akili ya tungi huijui.
~ Mtu anaacha kuingia kwake na kuzama chumba cha jirani
~ Mtu anakojoa kabatini akidhani yupo chooni.🤣
~ Mtu anamtongoza mke wake njiani akifikiri ni mwanamke mpya nakuomba number ya simu🤣
~ Achilia mbali kulala/kuzima mlangoni ukifikiri umeshaingia ndani🤣
Wapiga tungi la maana wanapitia mengi acha kabisa mkuu
Wapiga tungi la maana wanapitia mengi acha kabisa ohoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…