Kumbe ilikuwa ya mama mkwe

Kumbe ilikuwa ya mama mkwe

Nilijua tu kuwa ulienjoy, scenario kama hizo huwa tamu kuliko utamu wenyewe, ila ndo ukiendekeza tu unaharibu maisha yako yote vyema kuishinda tamaa, iliwahi kunikuta ila hakuwa bamkwe wala shem shem ni mtu ambae sikuwahi mdhania wala kumfikiria kumpa tam, ilikuwa tam jamani, unaliwa hadi unalia machozi...
Jaman[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu hata ukivaa kandambili isiyokuwa yako kizani unahisi utofauti na unaivua mara moja sembuse k ya mama mkwe.
Ulizingua brother😂🤣
 
Ladha ilikuwa tofauti na siku zote! Kumbe ile tamu ilikuwa ya mama mkwe[emoji848][emoji40]
Mavi ya kale hayanuki! Hii ni story yangu mwenyewe! With time passed kuna vitu havina madhara tena hata ukoviweka wazi.. Nilimpoteza mke wangu wa kwanza 2002.. Apumzike kwa amani[emoji25]

Sorry kwa watakaokwazika na hii simulizi, maana najulikana na wengi.. Nilifunga ndoa ya Kimila mkoani, na baada ya harusi tukarudi Dar Temeke kwa Aziz Ally mtaa wa uwanja wa Sifa bythen, na mama mkwe alitufuata mwezi mmoja baadae kuja kutusalimia

Nyumba niliyokuwa nimepanga ilikuwa upande wa vyuma vitatu kwa maana ya katikati sebule kushoto bedroom na kulia bedroom.. Wakati huo hatukuwa na watoto hivyo nyumba ile ilitufaa kwa mahitaji yetu
Siku mama mkwe anafika tulienda kumpokea pale Kisutu kaja na Dar Express, tukafika salama home tukatua mizigo na kupata mlo wa jioni ndizi na nyama! Ndizi alikuja nazo mama mkwe

Pale uwanja wa Sifa ilikuwepo bar maarufu enzi hizo ikijulikana kama Zebra bar! Basi baada ya mlo wa jioni tukajisogeza hapo kumkirimu mama mkwe.

Mke wangu hakuwa mnywaji kivile lakini kuna vi wine vinaitwa banana wakati huo ndio vilikuwa vinatamba sokoni.. Vikali sana! Mke wangu alikuwa akivipiga viwili tu hoi kabisa.

Basi siku ile mimi na Serengeti larger za wakati huo zile kubwa, mama mkwe hajambo alikuwa anaondoka safari wife banana wine.

Bia moja huanzisha nyingine kufika saa nne usiku mama mkwe alikuwa keshakula safari tano, mke wangu banana wine zake 2 tu. Wakawa wamechoka na kuomba kutangulia home, nikawaruhusu.

Mimi na Serengeti zangu za kutosha kufika home kwenye saa sita hivi usiku moja kwa moja chumbani, sikuwa na haja ya kuwasha taa maana mwanga hafifu toka taa ya nje kupitia dirishani ulitosha kuangaza macho
Nikavua nikapanda kitandani na kumkuta wife kalala na nguo.. Kidogo nikasirike maana ukikubali ndoa kubali kulala wuchi[emoji23] lakini nilipokumbuka kanywa banana wine sikumlaumu tena!

Nikamchojoa zote nikajihudumia chakula cha usiku watoto wakila wamelala.. Nikajisevia self service ila nikashangaa mbona kama ladha ya leo ni tofauti na niliyozoea? Kuanzia kina, expansion joint mpaka sentigredi? Nikajua pengine leo ni special order.

Cha kushangaza zaidi hata ufundi wa leo ulikuwa extra mile[emoji23] Nikamaliza kula lakini sikunawa wala kunawisha! Sio kosa wote tulikuwa hoi sana!

Kibaridi cha saa tisa usiku kuelekea alfajiri ndio kiliniamsha.. Wakati huo hata ulevi ulikuwa umeshakata.. Nikajaribu kumkumbatia mkewangu nipate joto na pengine ikibidi morning glory, lakini nikaona kama kaongezeka unene! Hili likanipa fadhaa nikawasha switch pembezoni mwa kitanda!

Lahaulah aliyekuwepo kitanda ni mama mkwe![emoji3064] Nikazima nikawasha! Nikazima tena nikawasha nikazima na kuwasha zaidi ya mara tatu ili nikiwasha sura ibadilike lakini wapi! Sura ilikuwa ileile ya mama mkwe! Na shepu lake la kiutu uzima[emoji39]

Nikiwa nimechanganyikiwa nikamsitiri na kutoka kimyakimya na kufunga mlango taratibu mno! Nikavuka sebuleni nikaingia chumba cha wageni na kuwasha taa.. Duh! Aliyekuwepo kitandani ni mke wangu, kajiweka mkao wa menu.

Wala sikuwa na haja ya kushangaa mara mbili nikazima taa na kurukia kitandani, wakati huo ilikuwa ni adhana ya kwanza! Na jogoo la pili linawika!

Niliamshwa na wife saa tatu asubuhi, akiniambia niamke tumsindikize mama mkwe stand kapata taarifa ya dharura kijijini hivyo inabidi aondoke siku hiyohiyo.. Sikuwa na ubavu wa kumsindikiza nikatoa visingizio kadhaa na kumkodishia tax iliyompeleka hadi Kisutu

Jioni ile ikabidi nimuulize wife ilikuwaje akabadili vyumba bila taarifa? Akasema waliporudi akaona ni vema mama yake alale chumbani kwetu maana kulikuwa self nasi tulale kwa wageni. Akaniuliza kwani uliporudi uliingia chumba gani? Nami nikamjibu kwani ulipoamka ulimuacha nani kitandani?[emoji23]

Kumbe ilikuwa ya mamamkwe[emoji848][emoji2827][emoji1544][emoji1550]
Pombe sio chai
 
Ukiwa mZima sawa! Je ukiwa umetoa lock;?[emoji23]
Pombe huondoa fahamu za wanadamu

UFAHAMU ni uwezo wa akili ya mwanadam kutafsiri jambo au kitu Fulani Kwa usahihi bila kukosea

Mwamba alilewa hivyo ufahamu ukamtoka akashindwa kutambua kwamba yule si mke wake aliemoea Kila siku kwaiyo Akala tunda la mama mkwe kitu ambacho ni kibaya na ni laaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaana kwasababu MUNGU amekataza Sana
 
😂😂😂😂 Mshana bwana,ulijua tangu usiku hapa nilipoingia siko,ila ulitumia "benefit of the doubt" kula kwa mama.
Basi ndugu yangu akili ya tungi huijui.
~ Mtu anaacha kuingia kwake na kuzama chumba cha jirani
~ Mtu anakojoa kabatini akidhani yupo chooni.🤣
~ Mtu anamtongoza mke wake njiani akifikiri ni mwanamke mpya nakuomba number ya simu🤣
~ Achilia mbali kulala/kuzima mlangoni ukifikiri umeshaingia ndani🤣
Wapiga tungi la maana wanapitia mengi acha kabisa mkuu
Wapiga tungi la maana wanapitia mengi acha kabisa ohoo
 
Back
Top Bottom