Kumbe ilikuwa ya mama mkwe

Kumbe ilikuwa ya mama mkwe

Jamaa mwingine jana alivamia chumba cha mama mwenye nyumba,kweli pombe sio chai piga kura sasa hapa
Hahaha
 
Pole Mkuu kwa ajali hizo mbili ulizozipata Ukweni.

Ila hapo wa Kulaumiwa ni Pombe, ndiyo maana pamoja na Uzee huu nilionao bado sijawahi kuonja Pombe 🙌

Sisi upande wa Kabila letu, kumuona Mama Mkwe huwa ni nadra sana, hata ikitokea wakati wa msosi basi Wanaume tunakula kivyetu na Wanawake kivyao.
 
Duuuh aiseee.......hata harufu ya mkeo ulikuwa huijui ? Mkeo ndiyo alikosea, mama mkwe analalaje kitandani Kwa mkwe wake,tamaduni tunatofautiana ila kwetu ni mwiko kabisa
Hizo pombe harufu ya mkewe ataisikia vipi na yupo chumbani kwake? Lakini aliwasidia kupata mtoto wakiume ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ladha ilikuwa tofauti na siku zote! Kumbe ile tamu ilikuwa ya mama mkwe[emoji848][emoji40]
Mavi ya kale hayanuki! Hii ni story yangu mwenyewe! With time passed kuna vitu havina madhara tena hata ukoviweka wazi.. Nilimpoteza mkewangu wa kwanza 2002.. Apumzike kwa amani[emoji25]
Sorry kwa watakaokwazika na hii simulizi, maana najulikana na wengi.. Nilifunga ndoa ya Kimila mkoani, na baada ya harusi tukarudi Dar Temeke kwa Aziz Ally mtaa wa uwanja wa Sifa bythen, na mama mkwe alitufuata mwezi mmoja baadae kuja kutusalimia

Nyumba niliyokuwa nimepanga ilikuwa upande wa vyuma vitatu kwa maana ya katikati sebule kushoto bedroom na kulia bedroom.. Wakati huo hatukuwa na watoto hivyo nyumba ile ilitufaa kwa mahitaji yetu
Siku mama mkwe anafika tulienda kumpokea pale Kisutu kaja na Dar Express, tukafika salama home tukatua mizigo na kupata mlo wa jioni ndizi na nyama! Ndizi alikuja nazo mama mkwe

Pale uwanja wa Sifa ilikuwepo bar maarufu enzi hizo ikijulikana kama Zebra bar! Basi baada ya mlo wa jioni tukajisogeza hapo kumkirimu mama mkwe
Mke wangu hakuwa mnywaji kivile lakini kuna vi wine vinaitwa banana wakati huo ndio vilikuwa vinatamba sokoni.. Vikali sana! Mke wangu alikuwa akivipiga viwili tu hoi kabisa
Basi siku ile mimi na Serengeti larger za wakati huo zile kubwa, mama mkwe hajambo alikuwa anaondoka safari wife banana wine
Bia moja huanzisha nyingine kufika saa nne usiku mama mkwe alikuwa keshakula safari tano, mke wangu banana wine zake 2 tuu.. Wakawa wamechoka na kuomba kutangulia home.. Nikawaruhusu
Mimi na Serengeti zangu za kutosha kufika home kwenye saa sita hivi usiku moja kwa moja chumbani, sikuwa na haja ya kuwasha taa maana mwanga hafifu toka taa ya nje kupitia dirishani ulitosha kuangaza macho
Nikavua nikapanda kitandani na kumkuta wife kalala na nguo.. Kidogo nikasirike maana ukikubali ndoa kubali kulala wuchi[emoji23] lakini nilipokumbuka kanywa banana wine sikumlaumu tena!

Nikamchojoa zote nikajihudumia chakula cha usiku watoto wakila wamelala.. Nikajisevia self service ila nikashangaa mbona kama ladha ya leo ni tofauti na niliyozoea? Kuanzia kina, expansion joint mpaka sentigredi? Nikajua pengine leo ni special order
Cha kushangaza zaidi hata ufundi wa leo ulikuwa extra mile[emoji23] Nikamaliza kula lakini sikunawa wala kunawisha! Sio kosa wote tulikuwa hoi sana!

Kibaridi cha saa tisa usiku kuelekea alfajiri ndio kiliniamsha.. Wakati huo hata ulevi ulikuwa umeshakata.. Nikajaribu kumkumbatia mkewangu nipate joto na pengine ikibidi morning glory, lakini nikaona kama kaongezeka unene! Hili likanipa fadhaa nikawasha switch pembezoni mwa kitanda!

Lahaulah aliyekuwepo kitanda ni mama mkwe![emoji3064] Nikazima nikawasha! Nikazima tena nikawasha nikazima na kuwasha zaidi ya mara tatu ili nikiwasha sura ibadilike lakini wapi! Sura ilikuwa ileile ya mama mkwe! Na shepu lake la kiutu uzima[emoji39]

Nikiwa nimechanganyikiwa nikamsitiri na kutoka kimyakimya na kufunga mlango taratibu mno! Nikavuka sebuleni nikaingia chumba cha wageni na kuwasha taa.. Duh! Aliyekuwepo kitandani ni mke wangu, kajiweka mkao wa menu..
Wala sikuwa na haja ya kushangaa mara mbili nikazima taa na kurukia kitandani, wakati huo ilikuwa ni adhana ya kwanza! Na jogoo la pili linawika!

Niliamshwa na wife saa tatu asubuhi, akiniambia niamke tumsindikize mama mkwe stand kapata taarifa ya dharura kijijini hivyo inabidi aondoke siku hiyohiyo.. Sikuwa na ubavu wa kumsindikiza nikatoa visingizio kadhaa na kumkodishia tax iliyompeleka hadi Kisutu

Jioni ile ikabidi nimuulize wife ilikuwaje akabadili vyumba bila taarifa? Akasema waliporudi akaona ni vema mama yake alale chumbani kwetu maana kulikuwa self nasi tulale kwa wageni.. Akaniuliza kwani uliporudi uliingia chumba gani? Nami nikamjibu kwani ulipoamka ulimuacha nani kitandani?[emoji23]

Kumbe ilikuwa ya mamamkwe[emoji848][emoji2827][emoji1544][emoji1550]
Ukazima na kuwasha, ukazima na kuwasha, ukazima na kuwasha😅😅😅🙌

Baad ya hapo sasa wewe na mama mkwe ikawaje, au ndo kila mtu alipiga kimya kama hakuna kilichotokea
 
Pole Mkuu kwa ajali hizo mbili ulizozipata Ukweni.

Ila hapo wa Kulaumiwa ni Pombe, ndiyo maana pamoja na Uzee huu nilionao bado sijawahi kuonja Pombe [emoji119]

Sisi upande wa Kabila letu, kumuona Mama Mkwe huwa ni nadra sana, hata ikitokea wakati wa msosi basi Wanaume tunakula kivyetu na Wanawake kivyao.
Na si vizuri kulewa na mkwe hasa nyakati za usiku
 
Ukazima na kuwasha, ukazima na kuwasha, ukazima na kuwasha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]

Baad ya hapo sasa wewe na mama mkwe ikawaje, au ndo kila mtu alipiga kimya kama hakuna kilichotokea
Alikuwa kalala fofofo ila alikuwa kama anatabasamu naona kama alikuwa anaota ndoto nzuri
 
Hicho ni kisanga cha pili cha kwanza kilianzia ukweni
Baada ya kutoka honey moon tuliitwa kwa wakwe tutie baraka ya kulala pale.. Sasa jioni ile mkewangu akaambiwa akipe .. Mimi nilikuwa chumbani
Kufika kwenye saa moja usiku umeme ukakatika na nikamsikia mama mkwe akimuagiza mwanae akalete mshumaa sebuleni! Kule kijijini majiko ni nje

Sasa sikujua kama mama mkwe kaghairi kumtuma bintiye na kuamua kwenda mwenyewe.. Mimi na utukutu wangu nikijua mkewangu ndio anakuja nikatoka chumbani kuelekea sebuleni nikamshika nikamvuta nikampa bonge la kiss! Palepale umeme nao ukarudi
Kumbe hakuwa mkewangu ni mama mkwe![emoji1544][emoji23]! Sikutoka chumbani mpaka tulipoondika kesho yake! Japo mama mkwe alijua fika ilikuwa ni wrong number[emoji23]
Kwa hiyo ulishamkiss halafu baadae ndo ukaj kuila mbususu yake
 
Back
Top Bottom