Kumbe ilikuwa ya mama mkwe

Hahaha
 
Pole Mkuu kwa ajali hizo mbili ulizozipata Ukweni.

Ila hapo wa Kulaumiwa ni Pombe, ndiyo maana pamoja na Uzee huu nilionao bado sijawahi kuonja Pombe 🙌

Sisi upande wa Kabila letu, kumuona Mama Mkwe huwa ni nadra sana, hata ikitokea wakati wa msosi basi Wanaume tunakula kivyetu na Wanawake kivyao.
 
Duuuh aiseee.......hata harufu ya mkeo ulikuwa huijui ? Mkeo ndiyo alikosea, mama mkwe analalaje kitandani Kwa mkwe wake,tamaduni tunatofautiana ila kwetu ni mwiko kabisa
Hizo pombe harufu ya mkewe ataisikia vipi na yupo chumbani kwake? Lakini aliwasidia kupata mtoto wakiume ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukazima na kuwasha, ukazima na kuwasha, ukazima na kuwasha😅😅😅🙌

Baad ya hapo sasa wewe na mama mkwe ikawaje, au ndo kila mtu alipiga kimya kama hakuna kilichotokea
 
Na si vizuri kulewa na mkwe hasa nyakati za usiku
 
Ukazima na kuwasha, ukazima na kuwasha, ukazima na kuwasha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]

Baad ya hapo sasa wewe na mama mkwe ikawaje, au ndo kila mtu alipiga kimya kama hakuna kilichotokea
Alikuwa kalala fofofo ila alikuwa kama anatabasamu naona kama alikuwa anaota ndoto nzuri
 
Kwa hiyo ulishamkiss halafu baadae ndo ukaj kuila mbususu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…