Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Hicho ni kisanga cha pili cha kwanza kilianzia ukweni
Baada ya kutoka honey moon tuliitwa kwa wakwe tutie baraka ya kulala pale.. Sasa jioni ile mkewangu akaambiwa akipe .. Mimi nilikuwa chumbani
Kufika kwenye saa moja usiku umeme ukakatika na nikamsikia mama mkwe akimuagiza mwanae akalete mshumaa sebuleni! Kule kijijini majiko ni nje
Sasa sikujua kama mama mkwe kaghairi kumtuma bintiye na kuamua kwenda mwenyewe.. Mimi na utukutu wangu nikijua mkewangu ndio anakuja nikatoka chumbani kuelekea sebuleni nikamshika nikamvuta nikampa bonge la kiss! Palepale umeme nao ukarudi
Kumbe hakuwa mkewangu ni mama mkwe![emoji1544][emoji23]! Sikutoka chumbani mpaka tulipoondika kesho yake! Japo mama mkwe alijua fika ilikuwa ni wrong number[emoji23]
Hahahaha.......................inaonekana uliinjoi Mkuu, nilitaka kukupa Mjukuu wangu mmoja umwoe lakini kwa maandishi haya nimeghairi. Usije kumpindua Bibi yako bure 🤪🏃🏃🏃Blow job halafu umkunde mamkwe ni fundi mkunga na katoa lock [emoji23]
Dah.. Hiyo ya mkwe ilikuwa bahati mbaya tuuHahahaha.......................inaonekana uliinjoi Mkuu, nilitaka kukupa Mjukuu wangu mmoja umwoe lakini kwa maandishi haya nimeghairi. Usije kumpindua Bibi yako bure [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
Ndio maana ulimpoteza mkeo mkuu!!Ladha ilikuwa tofauti na siku zote! Kumbe ile tamu ilikuwa ya mama mkwe[emoji848][emoji40]
Mavi ya kale hayanuki! Hii ni story yangu mwenyewe! With time passed kuna vitu havina madhara tena hata ukoviweka wazi.. Nilimpoteza mkewangu wa kwanza 2002.. Apumzike kwa amani[emoji25]
Sorry kwa watakaokwazika na hii simulizi, maana najulikana na wengi.. Nilifunga ndoa ya Kimila mkoani, na baada ya harusi tukarudi Dar Temeke kwa Aziz Ally mtaa wa uwanja wa Sifa bythen, na mama mkwe alitufuata mwezi mmoja baadae kuja kutusalimia
Nyumba niliyokuwa nimepanga ilikuwa upande wa vyuma vitatu kwa maana ya katikati sebule kushoto bedroom na kulia bedroom.. Wakati huo hatukuwa na watoto hivyo nyumba ile ilitufaa kwa mahitaji yetu
Siku mama mkwe anafika tulienda kumpokea pale Kisutu kaja na Dar Express, tukafika salama home tukatua mizigo na kupata mlo wa jioni ndizi na nyama! Ndizi alikuja nazo mama mkwe
Pale uwanja wa Sifa ilikuwepo bar maarufu enzi hizo ikijulikana kama Zebra bar! Basi baada ya mlo wa jioni tukajisogeza hapo kumkirimu mama mkwe
Mke wangu hakuwa mnywaji kivile lakini kuna vi wine vinaitwa banana wakati huo ndio vilikuwa vinatamba sokoni.. Vikali sana! Mke wangu alikuwa akivipiga viwili tu hoi kabisa
Basi siku ile mimi na Serengeti larger za wakati huo zile kubwa, mama mkwe hajambo alikuwa anaondoka safari wife banana wine
Bia moja huanzisha nyingine kufika saa nne usiku mama mkwe alikuwa keshakula safari tano, mke wangu banana wine zake 2 tuu.. Wakawa wamechoka na kuomba kutangulia home.. Nikawaruhusu
Mimi na Serengeti zangu za kutosha kufika home kwenye saa sita hivi usiku moja kwa moja chumbani, sikuwa na haja ya kuwasha taa maana mwanga hafifu toka taa ya nje kupitia dirishani ulitosha kuangaza macho
Nikavua nikapanda kitandani na kumkuta wife kalala na nguo.. Kidogo nikasirike maana ukikubali ndoa kubali kulala wuchi[emoji23] lakini nilipokumbuka kanywa banana wine sikumlaumu tena!
Nikamchojoa zote nikajihudumia chakula cha usiku watoto wakila wamelala.. Nikajisevia self service ila nikashangaa mbona kama ladha ya leo ni tofauti na niliyozoea? Kuanzia kina, expansion joint mpaka sentigredi? Nikajua pengine leo ni special order
Cha kushangaza zaidi hata ufundi wa leo ulikuwa extra mile[emoji23] Nikamaliza kula lakini sikunawa wala kunawisha! Sio kosa wote tulikuwa hoi sana!
Kibaridi cha saa tisa usiku kuelekea alfajiri ndio kiliniamsha.. Wakati huo hata ulevi ulikuwa umeshakata.. Nikajaribu kumkumbatia mkewangu nipate joto na pengine ikibidi morning glory, lakini nikaona kama kaongezeka unene! Hili likanipa fadhaa nikawasha switch pembezoni mwa kitanda!
Lahaulah aliyekuwepo kitanda ni mama mkwe![emoji3064] Nikazima nikawasha! Nikazima tena nikawasha nikazima na kuwasha zaidi ya mara tatu ili nikiwasha sura ibadilike lakini wapi! Sura ilikuwa ileile ya mama mkwe! Na shepu lake la kiutu uzima[emoji39]
Nikiwa nimechanganyikiwa nikamsitiri na kutoka kimyakimya na kufunga mlango taratibu mno! Nikavuka sebuleni nikaingia chumba cha wageni na kuwasha taa.. Duh! Aliyekuwepo kitandani ni mke wangu, kajiweka mkao wa menu..
Wala sikuwa na haja ya kushangaa mara mbili nikazima taa na kurukia kitandani, wakati huo ilikuwa ni adhana ya kwanza! Na jogoo la pili linawika!
Niliamshwa na wife saa tatu asubuhi, akiniambia niamke tumsindikize mama mkwe stand kapata taarifa ya dharura kijijini hivyo inabidi aondoke siku hiyohiyo.. Sikuwa na ubavu wa kumsindikiza nikatoa visingizio kadhaa na kumkodishia tax iliyompeleka hadi Kisutu
Jioni ile ikabidi nimuulize wife ilikuwaje akabadili vyumba bila taarifa? Akasema waliporudi akaona ni vema mama yake alale chumbani kwetu maana kulikuwa self nasi tulale kwa wageni.. Akaniuliza kwani uliporudi uliingia chumba gani? Nami nikamjibu kwani ulipoamka ulimuacha nani kitandani?[emoji23]
Kumbe ilikuwa ya mamamkwe[emoji848][emoji2827][emoji1544][emoji1550]
Hahaha...........naelewa Mkuu, just jokingDah.. Hiyo ya mkwe ilikuwa bahati mbaya tuu
Hivi hayo machozi yanasababishwa na nini, first time nilijua nimemuumiza mtoto wa mtu kumbe....😂😂Nilijua tu kuwa ulienjoy, scenario kama hizo huwa tamu kuliko utamu wenyewe, ila ndo ukiendekeza tu unaharibu maisha yako yote vyema kuishinda tamaa, iliwahi kunikuta ila hakuwa bamkwe wala shem shem ni mtu ambae sikuwahi mdhania wala kumfikiria kumpa tam, ilikuwa tam jamani, unaliwa hadi unalia machozi...
Wengine ni ya ulaghai, ila nilijikuta tu chozi linashuka, na haijawahi kunikuta tena ya kutoa chozi, ila raha niliyopata ni km roho ikiwa inaenda mbinguni labda😂Hivi hayo machozi yanasababishwa na nini, first time nilijua nimemuumiza mtoto wa mtu kumbe....😂😂
Natural death mkuu
Hivi ushaona form 4 failure anamuelekeza professor, hujui huyu jamaa ndio guru humu ndani mambo ya kiroho anajua in and out na ni budha flan hivi mzee wa spiritual cleansing! Unamwaga mchanga baharini tena? U think he needs your 2 points?Ndio maana ulimpoteza mkeo mkuu!!
Kiroho uliongeza nyama ya mwili usiotakiwa ambao ulimdhoofisha sana mkeo hata alipopata ajali hata kuugua!
Ngono ya ndugu wawili KWA mtu mmoja HUWA ni mbaya sana!!
Nimekutana na chozi mara moja asee mtu alilia hadi nusu saa nzima ameniganda tu hataki kuondokaWengine ni ya ulaghai, ila nilijikuta tu chozi linashuka, na haijawahi kunikuta tena ya kutoa chozi, ila raha niliyopata ni km roho ikiwa inaenda mbinguni labda😂
Sex siku 7 tu au kilevi🤣Nilistaafu siku saba nzima