juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
hiyo ya jose mtambo aliisajiri sumatra na kupata hati milikihawa clouds ni kiboko kwa wizi! Hii idea yao fiesta inayosema imoooo,ni idea ya Jose mtambo(msanii wa hip hop),huenda hata huyu msanii hajui ya kwamba kaibiwa kimstari chake.sasa ni hivi ,nenda kasikilize wimbo wa Jose mtambo aliomshirikisha Dully sykes kwenye chorus unaitwa DARASA HURU,sikiliza verse ya pili,inasema hivi "JE UMECHAGUA VIBONGE KAMA WACHEZA SUMO,HAINA NOMA HATA KAMA WE FIDODIDO IMOOOO".huu wimbo kwa nyie watoto wa team diamond na team kiba hamuwezi kuujua maana aliutoa mwaka 2002.kinachoniuma ni kwamba msanii huyu hajapewa hata show moja ya fiesta,daaaa na hata yeye ukute hajui kama kaibiwa hii idea,
Duh!!Imeingia yote
[emoji15] [emoji15] kitu gani?Imeingia yote
SUMATRA tena? Imekuwa basi au lorry?hiyo ya jose mtambo aliisajiri sumatra na kupata hati miliki
Hii ni slogan wanayotumia mawingu fm kwenye fiesta yaoHivi "IMOOOOOOO!" Maana yake nini??
khaaaa!!!!!Imeingia yote
Maana yake nini? Au haina maana??Hii ni slogan wanayotumia mawingu fm kwenye fiesta yao
We wawapi? Jos Mtambo ndio Jose Chamelione?Jose chameleon ana pesa hahitaj hyo show
umeninukuu vibaya sijasema sumatra ni basataSUMATRA tena? Imekuwa basi au lorry?
Sio huyo Uganda...huyu ni Jose Mtambo mnywa Gongo wa Kigamboni kwa UrassaJose chameleon ana pesa hahitaj hyo show
Umesema Sumatra, yaani unakana wakati hiyo comment bado ipo?umeninukuu vibaya sijasema sumatra ni basata
sio kweli mkuu mimi uelewa ni mkubwa na ni msomi siwez kukosea hivyo mkuuUmesema Sumatra, yaani unakana wakati hiyo comment bado ipo?
Acha kukurupuka,sijasema chameleon,,nimesema jose mtamboJose chameleon ana pesa hahitaj hyo show
post ya mwendokasiJose chameleon ana pesa hahitaj hyo show
Ni kweli samahani kwa kukusingiziasio kweli mkuu mimi uelewa ni mkubwa na ni msomi siwez kukosea hivyo mkuu