juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Hawa clouds ni kiboko kwa wizi! Hii idea yao fiesta inayosema imoooo, ni idea ya Jose mtambo (msanii wa hip hop),huenda hata huyu msanii hajui ya kwamba kaibiwa kimstari chake.
Sasa ni hivi nenda kasikilize wimbo wa Jose mtambo aliomshirikisha Dully sykes kwenye chorus unaitwa DARASA HURU, sikiliza verse ya pili,inasema hivi "JE UMECHAGUA VIBONGE KAMA WACHEZA SUMO, HAINA NOMA HATA KAMA WE FIDODIDO IMOOOO".
Huu wimbo kwa nyie watoto wa team diamond na team kiba hamuwezi kuujua maana aliutoa mwaka 2002.
Kinachoniuma ni kwamba msanii huyu hajapewa hata show moja ya fiesta, daaaa na hata yeye ukute hajui kama kaibiwa hii idea,