Kumbe "imoooo" ya fiesta ni idea ya Jose mtambo??

Kumbe "imoooo" ya fiesta ni idea ya Jose mtambo??

Baada ya watangazaji kadhaa wa klouds media grupu kuhusishwa na tabia za 'watu hao', mtangazaji wao mmoja akapiga interview ya nguvu na 'watu hao' na sasa wamekuja na msemo wa imooo unaohusishwa na with hao..damn..
 
Ni rafiki wa adamu mchomvu huyo Jose hehe tutaona meng
 
ilitakiwa the first day alivyoiskia clouds aende basata kuzui clouds wasiitumie cz ni property yake.
 
Back
Top Bottom