Kumbe Injinia Hersi alisoma Kayumba?

Na boss wake ameenda International School of Tanganyika (IST)
 
Enzi zake kayumba zilikuwa nzuri

Iga sasa hivi mtoto wako aone cha mtema kuni

Kayumba wakati huo wanafunzi 35 darasa sasa hivi 120

Kayumba enzi zake walimu walukuwa ni wale tu waliopata division one na two sekondary sasa hivi ni wa division three na four

Huduma shule za uhakika

Iga ufe
 
English medium hawaendi tuition kama wa kayumba wanaonusurika kugongwa na bodaboda na daladala na bajaji kwenda tuition

English medium wanajiamini walichofundisha hawataki mtoto aende tuition popote wasije mchanganya
 
It doesn't change my point kwamba alisoma Kayumba.

We are not talking about his children mkuu. We are talking about him. Usitoke kwenye mada.
Nyakati bro, nyakati zinatofautiana sana. Wanafunzi wa miaka ya 80 mikoani almost wote wamesoma bila viatu na huenda sasa hvi ni watu wakubwa tu....! Je? Watoto wao au watoto wa wengine nao wafanye hivo hivo leo? Nyakati na teknolojia zake
 
Kusomesha ni mzigo kwa lofa asiyejielewa umuhimu wa elimu nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…