Tetesi: Kumbe Iran Imeingia Mkenge Kutungua Drone ya USA

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
567
Reaction score
1,564
Habari.

Kuna habari za Kiintelegensia zinaonyesha eti USA waliirusha ile Drone katika anga la Irani Makusudi ili Iran Aitungue na hivyo USA wapate sababu ya wazi na ya moja kwa moja Kuiadhibu Iran.
Haya sasa kama ni mkenge sasa Irani kaingia kichwakichwa.
 
Hakuna lolote pale.Pumbaaavu USA kakutana na chuma Iran.Apeleke sasa huo upuuzi wake F-35 Stealth akutane na moto mwingine.Propaganda nyingi,eti vifaa vyetu ni vya kisasa zaidi havionekani kwa rada, Nchi kama Iran inazipiga tu,je kwa Russia?😂😂😂😂😂😂😂😂
 

Hivi Russia si alisema marekani asijaribu kuipiga syria?

Vita marekani alipoipiga russia alifanya nini?
 
huo ni uzushi mkuu mtu mzima kachezea za uso
 
Kwa sisi tuliopo Gulf tunashuhuduia Logistic ya aina yake kwa Marekani ila kikubwa hapa Marekani wanajaribu ku pressure ili ikiwezekani wapate deal kubwa Zaidi kutoka Iran, Jee Wamarekani wakiingia kwenye vita na wakashindwa Trump watamchagua tena kuwa raisi wao? si rahisi ni michezo tu ya kisiasa subiri tuone
 
Sawa msemaji wa Pentagon
 
Zipigwe jamani ili tujue F-22 na F-35 ni stealth kweli au tulishikwa masikio
 
Mkuu upp dunia hii kweli?
Ulifuatilia vita ya syria au ulihadithiwa??
Dont mess with the russians
Hivi Russia si alisema marekani asijaribu kuipiga syria?

Vita marekani alipoipiga russia alifanya nini?
 
Sawa tumekuelewa mchambuzi wa masuala ya umoja wa mataifa....
 
Vita ina hasara kubwa hususani kwa kipindi hiki cha industrialisation error.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…