Kumbe Ismail Haniyeh aliuliwa kwa kutegeshewa bomu chini ya kitanda!

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
542
Reaction score
1,286
Kilipuzi chenye ukubwa wa inchi 3x6 , sawa na tofali la kuchoma kilichotegwa chini ya kitanda na vijana wa Ansar al-Mahdi security waliokuwa wakilinda nyumba ya wageni mjini Tehran, Iran.
Inaaminika ya kuwa walinzi hao walitumwa na mossad kutekeleza mpango huo wa muda mrefu.

Mpaka sasa, Iran bado haijajibu mashambulizi kwa Israel kama ilivyoahidi zaidi ya kutoa vitisho vingi.
IMG_20240807_193424.jpg

R. I. P Kamanda Haniyeh.
 
Uongo mkubwa chumba kilipigwa na kilipuzi kutoka kwa nje hamasi wameshachora mchoro wote wa tukio uko kwenye group
 
Kilipuzi chenye ukubwa wa inchi 3x6 , sawa na tofali la kuchoma kilichotegwa chini ya kitanda na vijana wa Ansar al-Mahdi security waliokuwa wakilinda nyumba ya wageni mjini Tehran, Iran.
Inaaminika ya kuwa walinzi hao walitumwa na mossad kutekeleza mpango huo wa muda mrefu.

Mpaka sasa, Iran bado haijajibu mashambulizi kwa Israel kama ilivyoahidi zaidi ya kutoa vitisho vingi.
View attachment 3064005
R. I. P Kamanda Haniyeh.
Walikuwa wanalala kitanda kimoja na body guard?
 
Back
Top Bottom