State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Walimpania hasa!Hahaha hawa kweli Israeli watoa roho....mtu mmoja anawekewa bome saizi ya tofali la kuchoma.
Uovu wake na uwe juu yake na kizazi chake.Maiti ya Ismail Haniyeh ilikutwa imejaa kinyesi, hii inadhihirisha alifumuliwa na utumbo
Walikuwa wanalala kitanda kimoja na body guard?Kilipuzi chenye ukubwa wa inchi 3x6 , sawa na tofali la kuchoma kilichotegwa chini ya kitanda na vijana wa Ansar al-Mahdi security waliokuwa wakilinda nyumba ya wageni mjini Tehran, Iran.
Inaaminika ya kuwa walinzi hao walitumwa na mossad kutekeleza mpango huo wa muda mrefu.
Mpaka sasa, Iran bado haijajibu mashambulizi kwa Israel kama ilivyoahidi zaidi ya kutoa vitisho vingi.
View attachment 3064005
R. I. P Kamanda Haniyeh.
Na dildo lilikutwaMbona wanasema alikufa pamoja na bodyguard wake?! Ina maana walikua wamelala kitanda kimoja ?
ππππ watu mna dhihakaHahaha hawa kweli Israeli watoa roho....mtu mmoja anawekewa bome saizi ya tofali la kuchoma.
Mbona wanasema alikufa pamoja na bodyguard wake?! Ina maana walikua wamelala kitanda kimoja ?
Noma sana!Na dildo lilikutwa
Group la WhatsApp??Uongo mkubwa chumba kilipigwa na kilipuzi kutoka kwa nje hamasi wameshachora mchoro wote wa tukio uko kwenye group
Kwani inashangaza huko?Mbona wanasema alikufa pamoja na bodyguard wake?! Ina maana walikua wamelala kitanda kimoja ?
Kwamba mtu kulala na bodyguard wake sio jambo geni huko IranKwani inashangaza huko?