Kumbe Ismail Haniyeh aliuliwa kwa kutegeshewa bomu chini ya kitanda!


Bila source ya hii taarifa unakuwa udaku mwingine tu kama wa magazeti ya yule mheshimiwa mbunge.
 
Raisi wa Irani ameshtukia mtego huo kuwa Israel hahusiki na kumuua Isamil Haniyeh na kwamba ukweli ni wakuu wa ulinzi walifanya makusudi ili Raisi mpya ajipe ghadhabu aingie vitani na Israel.

Lakini Rais Masoud ni msomi mwenye msimamo wa wastani na mzalendo mwenye upeo mkubwa, hivyo amechomoa fuse, amegoma kuingia vitani na Israel akihofia Israel wakijibu wataiyumbisha Iran kiuchumi na maisha ya wairan yatayumba. Amemgomea Mkuu wa nchi kidini na wakuu wa vitengo vya usalama wa nchi.
Nampongeza kwa akili kubwa kama hiyo.
Kwa hiyo visasi vimeahirishwa!
 

Kumbe hii ni habari ya State Propaganda

 

Ndivyo alivyokuambia au umekuwa msemaji wake ??
 
Wamemuua Haniyey lakini kapatikana zaidi yake Yahya Sinwar saa hizi mayahudi ni uharo tu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…