GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mama kama kachanganyikiwa fulani hivi.Sasa hivi wanawaza 2025 tu ndio maana wanavurugana na kufanya maamuzi ya ajabu ajabu.
Wanatoa kauli za ajabu ajabu.
Mfano wanapeana ruhusa wakale lakini wasizidishe kiasi cha kuvimbiwa.
Wanapeana kazi ambazo hazipo ktk muundo wa serikali ....
Siku zingine huwa unapiga mafyongo kweli. Nakuheshimu, la siyo ningekwambia ukaungane na Mshana jr kwenye kundi wa wabaguzi wa kikabila.Mhutu kaamua
Mshana kuna .tu huku njoo mloge aache kukusema semaSiku zingine huwa unapiga mafyongo kweli. Nakuheshimu, la siyo ningekwambia ukaungane na Mshana jr kwenye kundi wa wabaguzi wa kikabila.
He.. Mshana Jr kaanza lini ubaguzi wa kikabila? Halafu hapa JF sio kila kitu ukichukulie very serious, utapata vidonda vya tumbo, stress, moyo utatanuka, mirija ya moyo itavimba, damu yako itategeneza mabonge, na maradhi mengi yatakwandama.Siku zingine huwa unapiga mafyongo kweli. Nakuheshimu, la siyo ningekwambia ukaungane na Mshana jr kwenye kundi wa wabaguzi wa kikabila.