Kumbe Jaji Mkuu Maraga anaishi Kisumu?

Kumbe Jaji Mkuu Maraga anaishi Kisumu?

Maraga anatoka Nyamira county...pili anaishi mtaa wa Karen,Nairobi
Maraga ni Mkisii wala siyo Mjaluo, acheni uzushi wenu. Piganeni na Hali zenu msitafute tena pressure mliyoipata baada ya Uhuru wenu kutenguliwa ushindi wake.
 
Maraga alikua anaishi kisumu akiwa bado hakimu wa mahakama kuu ya kisumu ,kufwatia kuteuliwa kwake kama hakimu mkuu wa mahakama ya Kenya alihamia mtaa wa Karen Nairobi.pili yeye ni mkisii kwao ni nyamira.raila ni luo maraga ni Bantu hawana uhusiano wowote.

Mwenzetu anadhani watu wote wa kutoka Nyanza Province ni Luo. Wakisii wamo ila wapo Nyamira Kisii na Wengine Migori! Correct me if am wrong.
 
We ni mjinga sana katiba haiwezi ikaletwa na mtu mmoja, lazina kuwe na washikadau wote,, ndio kuwe na katiba mpya lazima kuwa na committee of expert ambayo ina comprise mawakili mashuhuri ,lazima kuwe na draft team then Parliament halafu wananchi wahusishwe ,wafunzwe umuhimu wa katiba mpya na ile ambayo wanaiondoa hayo mambo yote hayawezi yakafanywa na mtu mmoja.
Hiyo ni think tank ya chama pale lumumba!!!
 
Mwenzetu anadhani watu wote wa kutoka Nyanza Province ni Luo. Wakisii wamo ila wapo Nyamira Kisii na Wengine Migori! Correct me if am wrong.

Huyu mamarosa ni yule jamaa wa kutoka sumbawanga aliepovushwa macho na ccm .nyanza province ina county sita ,kisumu,homabay ,siaya,those are pure luo with some suba,then kisii and nyamira those are kisii's Bantu tribe,migori county is made up of some luhya,luo and kuria .
 
Maraga alikua anaishi kisumu akiwa bado hakimu wa mahakama kuu ya kisumu ,kufwatia kuteuliwa kwake kama hakimu mkuu wa mahakama ya Kenya alihamia mtaa wa Karen Nairobi.pili yeye ni mkisii kwao ni nyamira.raila ni luo maraga ni Bantu hawana uhusiano wowote.
Kwelii
 
Back
Top Bottom