Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,187
Maraga ni Mkisii wala siyo Mjaluo, acheni uzushi wenu. Piganeni na Hali zenu msitafute tena pressure mliyoipata baada ya Uhuru wenu kutenguliwa ushindi wake.Maraga anatoka Nyamira county...pili anaishi mtaa wa Karen,Nairobi
Maraga alikua anaishi kisumu akiwa bado hakimu wa mahakama kuu ya kisumu ,kufwatia kuteuliwa kwake kama hakimu mkuu wa mahakama ya Kenya alihamia mtaa wa Karen Nairobi.pili yeye ni mkisii kwao ni nyamira.raila ni luo maraga ni Bantu hawana uhusiano wowote.
Hiyo ni think tank ya chama pale lumumba!!!We ni mjinga sana katiba haiwezi ikaletwa na mtu mmoja, lazina kuwe na washikadau wote,, ndio kuwe na katiba mpya lazima kuwa na committee of expert ambayo ina comprise mawakili mashuhuri ,lazima kuwe na draft team then Parliament halafu wananchi wahusishwe ,wafunzwe umuhimu wa katiba mpya na ile ambayo wanaiondoa hayo mambo yote hayawezi yakafanywa na mtu mmoja.
Mwenzetu anadhani watu wote wa kutoka Nyanza Province ni Luo. Wakisii wamo ila wapo Nyamira Kisii na Wengine Migori! Correct me if am wrong.
KweliiMaraga alikua anaishi kisumu akiwa bado hakimu wa mahakama kuu ya kisumu ,kufwatia kuteuliwa kwake kama hakimu mkuu wa mahakama ya Kenya alihamia mtaa wa Karen Nairobi.pili yeye ni mkisii kwao ni nyamira.raila ni luo maraga ni Bantu hawana uhusiano wowote.