comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Ndio chanzo cha kupigwa chini ubunge! Ndio hivyo, wewe unapishanaje na Mpwa wa Mungu wa wana kijani! Huyo mtu huko kijani ndio mungu wao wanamuabudu!
Kwahiyo hiyo B3 sijui ataitoa wapi na majirani zake ndio wanadai jamaa kawa chapombe mbayaa 👇👇
Mbwembwe alizifanya akiwa na cheo sasa deni atalipa akiwa kama raia wa kawaida.
Na akijichanganya akilipa tuu deni lazima aminywe mbupu aseme hizo B3 alizitolea wapi 🤣
Nikiona kijani waliokua na sifa waliojiona wapo safe wanapitia magumu hua naenjoy sana.