Kumbe Jamal Malinzi ni Mdogo Wake Dionis Malinzi. Duuh

Kumbe Jamal Malinzi ni Mdogo Wake Dionis Malinzi. Duuh

Kenny Hill

Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
65
Reaction score
61
Kumbe Rais Mpya wa TFF (mtarajiwa of course kama wajumbe wana akili) ni mdogo wake Dioniz Malinzi. Kwaiyo Mwenyekiti wa BMT na Rais wa TFF wote ndugu moja.

Ila tukiacha masihara wagombe wote safari hii hawafai na tunampenda Malinzi kwakuwa ndio ana kauhafazali. Nyamlani ni tapeli kabisa. Na kama mnavyojua TFF ni shamba la bibi tukimpa Nyamlani atafilisi kabisa

a1.jpg

Jamal (left) akiwa na Sepp Blatter wa Tanzania Leodgar Tenga

jamal-tff-election-jan17-2013(1).jpg

Jamal Malinzi

Dioniz%20Malinzi.jpg

Braza ake Ndugu Dionis Malinzi Ambae Aliteuliwa na (Dr. Wa Uongo) Nchimbi kuwa mwenyekiti wa BMT

6.jpg


Iwe Dionis

r2.jpg

Iwe Dionis akisalimiana na Mkulu


DSC_3382.JPG

Tapeli Nyamlani (aliesimama) akiwa na Kayuni Sunday Kayuni (right) na Thadeo
 
Dioniz%20Malinzi.jpg
6.jpg


Naskiaga eti huyu ndio baba wa Loveness Malinzi a.k.a "Diva The Boss"
 
Huyo wa BMT alipewa ulaji na Nchimbi wa kuzurula duniani kutafuta vazi la taifa,sijui limeishia wapi.
 
Huyo malinzi amefanya nini!?
Nyamlani unamuita tapeli ila ndio kainyanyua Mbeya city, na mwakani inakuja mbozi, he practice what he preach. Nnachokiona hapa ni Malinzi kutapatapa mtandaoni na kujaribu mfitini mwenzake, kiongozi anayesema ntafanya na sio nishafanya ni majanga, he is just like the others.
 
Back
Top Bottom