Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Kumbe Rais Mpya wa TFF (mtarajiwa of course kama wajumbe wana akili) ni mdogo wake Dioniz Malinzi. Kwaiyo Mwenyekiti wa BMT na Rais wa TFF wote ndugu moja.
Ila tukiacha masihara wagombe wote safari hii hawafai na tunampenda Malinzi kwakuwa ndio ana kauhafazali. Nyamlani ni tapeli kabisa. Na kama mnavyojua TFF ni shamba la bibi tukimpa Nyamlani atafilisi kabisa
Wewe una akili gani kujaribu kuwatukana wajumbe wote? Unatumia vigezo gani kumuidhinisha malinzi huku ukimtukana Nyamlani? Mara unadai wagombea wote hawafai halafu unampitisha Malinzi. Mnafiki wewe.