Kumbe Jamal Malinzi ni Mdogo Wake Dionis Malinzi. Duuh

Kumbe Jamal Malinzi ni Mdogo Wake Dionis Malinzi. Duuh

Kumbe Rais Mpya wa TFF (mtarajiwa of course kama wajumbe wana akili) ni mdogo wake Dioniz Malinzi. Kwaiyo Mwenyekiti wa BMT na Rais wa TFF wote ndugu moja.

Ila tukiacha masihara wagombe wote safari hii hawafai na tunampenda Malinzi kwakuwa ndio ana kauhafazali. Nyamlani ni tapeli kabisa. Na kama mnavyojua TFF ni shamba la bibi tukimpa Nyamlani atafilisi kabisa

Wewe una akili gani kujaribu kuwatukana wajumbe wote? Unatumia vigezo gani kumuidhinisha malinzi huku ukimtukana Nyamlani? Mara unadai wagombea wote hawafai halafu unampitisha Malinzi. Mnafiki wewe.
 
Loveness yupi. Huyu Hapa au?

diva.jpg

b5_loveness_love.jpg

Nasikia huyu mtoto anapenda kwenda gulio la katerelo mwanzo mwisho. Hata kama hupajui atakufundisha hadi ujue. Mia
 
Wewe una akili gani kujaribu kuwatukana wajumbe wote? Unatumia vigezo gani kumuidhinisha malinzi huku ukimtukana Nyamlani? Mara unadai wagombea wote hawafai halafu unampitisha Malinzi. Mnafiki wewe.

We ndio bogus kabisa.hujamuelewa nini mtoa post? Kasema wote hawafai,ila angalau Malinzi kwa sababu rais wa tff lazima atoke ndani ya haohao wabovu.
 
We ndio bogus kabisa.hujamuelewa nini mtoa post? Kasema wote hawafai,ila angalau Malinzi kwa sababu rais wa tff lazima atoke ndani ya haohao wabovu.

Hakuna cha angalau. Kama wote hawafai basi hawafai, period! Tumelogwa na nani sisi?
 
kuna Malinzi alikuwa anapambana na Mufuruki kuhusu uongozi wa golf pale Gymkhana. ndo yupi kati ya hawa?
 
Baada ya kuchoshwa na siasa za kijinga kimehamia kwenye Sports,lol kumbe nako kina Khadija Kopa wapo kibao! majanga
 
Back
Top Bottom