GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Sep 18, 2024 #1 Cheza na Watu wote, ila siyo wa JamiiForums kwani kuna Wengine hapa wanakujua ndani nje hivyo wakiwa hapa wanapiga Spana za maana lakini ukiwa nao tu Wanakuzuga kwa Kukuonyesha wapo nawe (nimesahau namaanisha) wapo nami GENTAMYCINE.
Cheza na Watu wote, ila siyo wa JamiiForums kwani kuna Wengine hapa wanakujua ndani nje hivyo wakiwa hapa wanapiga Spana za maana lakini ukiwa nao tu Wanakuzuga kwa Kukuonyesha wapo nawe (nimesahau namaanisha) wapo nami GENTAMYCINE.