Kumbe jf kila mtu ni mkuu

Kumbe jf kila mtu ni mkuu

Japan Airport wameweka kioo kubwa ukisimama mbele yake inataja jina lako na nchi unayo elekea.
Mkenya mwenzetu alisimama mbele ya kioo akaambiwa jina lake Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Kenya.
Awadhi alishangaa na hio kioo na akataka kuhakikisha kuwa ni kweli na akaenda kuvua koti lake akavaa kanzu na kofia na miwani na akarudi tena mbele ya kioo na akaambiwa tena kuwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Kenya.
Awadhi hakuamini na akaenda tena kuvua kanzu na akavaa night dress na akatia rangi ya mdomo na akatafuna ubani na kulegeze mwilli na akarudi tena kwenye hicho kioo na akaambiwa
Jina lako Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yako ya kuelekea Kenya imesharuka na wewe bado uko mbele yangu unafanya usenge.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Mkuu hii ni kweli au funy text
 
Back
Top Bottom